فَإِن كَانَ لَكُمۡ كَيۡدٞ فَكِيدُونِ ٣٩
Fa in kāna lakum kaydun fakīdūn
kiwa mnayo hila, nifanyieni hila Mimi! 39
Maelezo ya chini
39 Kama mnayo hila ya kujikinga na adhabu basi fanyeni hila hiyo. Basi njooni muepukane na adhabu yangu.