كَأَنَّهُۥ جِمَٰلَتٞ صُفۡرٞ ٣٣
Ka annahū jimālatun sufr
Kama kwamba ni ngamia wa rangi ya manjano! 33
Maelezo ya chini
33 Au utaona hayo macheche kama ngamia weusi wenye kuingia rangi ya manjano.