ثُمَّ نُتۡبِعُهُمُ ٱلۡأٓخِرِينَ ١٧
Thumma nutbi'uhumul-ākhirīn
Kisha tukawafuatilizia walio fuatia? 17
Maelezo ya chini
17 Na kisha tukawafuatilizia hao wenginewe tukawateketeza hali kadhaalika,
ثُمَّ نُتۡبِعُهُمُ ٱلۡأٓخِرِينَ ١٧
Thumma nutbi'uhumul-ākhirīn
Kisha tukawafuatilizia walio fuatia? 17
17 Na kisha tukawafuatilizia hao wenginewe tukawateketeza hali kadhaalika,