Surat Al-Mursalat, aya 18

77:18

كَذَٰلِكَ نَفۡعَلُ بِٱلۡمُجۡرِمِينَ ١٨

Kadhālika naf'alu bil-mujrimīn

Ndio kama hivi tuwatendavyo wakosefu! 18

Maelezo ya chini

18 Kwa madhambi waliyo yafanya na walivyo mkataa Mwenyezi Mungu?