Surat Al-Mursalat, aya 11

77:11

وَإِذَا ٱلرُّسُلُ أُقِّتَتۡ ١١

Wa idhar-rusulu uqqitat

Na Mitume watakapo wekewa wakati wao, 11

Maelezo ya chini

11 Na Mitume wakawekewa wakati maalumu wahudhurie kwa ajili ya kuwatolea ushahidi kaumu zao.