Surat Al-Mu'minun, aya 98

23:98

وَأَعُوذُ بِكَ رَبِّ أَن يَحۡضُرُونِ ٩٨

Wa a'ūdhu bika rabbi an yahdurūn

Na najikinga kwako, Mola wangu Mlezi, wasinikaribie. 98

Maelezo ya chini

98 Na ewe Mola Mlezi! Najilinda kwako wasiwe nami katika kitendo chochote ili kitendo hicho kiwe kimetakasika, safi, kwa ajili ya ridhaa yako tukufu.