سَيَقُولُونَ لِلَّهِۚ قُلۡ أَفَلَا تَتَّقُونَ ٨٧
Sayaqūlūna lillāhi qul afalā tattaqūn
Watasema: Ni vya Mwenyezi Mungu. Sema: Basi je, hamwogopi? 87
Maelezo ya chini
87 Watakiri kuwa huyo ni Mwenyezi Mungu. Basi waambie: Je! Hamwogopi matokeo ya ushirikina wenu na ukafiri wenu na kumuasi kwenu Mwenye uumbaji huu wote mkubwa?