Surat Al-Mu'minun, aya 69

23:69

أَمۡ لَمۡ يَعۡرِفُواْ رَسُولَهُمۡ فَهُمۡ لَهُۥ مُنكِرُونَ ٦٩

Am lam ya'rifū rasūlahum fahum lahū munkirūn

Au hawakumjua Mtume wao, ndio maana wanamkataa? 69

Maelezo ya chini

69 Au hawamjui Mtume wao Muhammad aliye kulia kati yao katika tabia zake tukufu ambazo hazijapata kuwa na uwongo, na wao hivi sasa wanaukataa wito wake kwa dhulma na husda.