Surat Al-Mu'minun, aya 70

23:70

أَمۡ يَقُولُونَ بِهِۦ جِنَّةُۢۚ بَلۡ جَآءَهُم بِٱلۡحَقِّ وَأَكۡثَرُهُمۡ لِلۡحَقِّ كَٰرِهُونَ ٧٠

Am yaqūlūna bihī jinnatu bal jā'ahum bil-haqqi wa aktharuhum lil-haqqi kārihūn

Au wanasema: Ana wazimu? Bali amewajia kwa Haki, na wengi wao wanaichukia Haki. 70

Maelezo ya chini

70 Au wanasema kuwa huyu ni mwendawazimu? Hasha! Huyu hakika kawaletea Dini ya Haki, na wengi wao wanaichukia haki, kwani hiyo ni kinyume na matamanio yao na mapenzi yao, basi kwa hivyo hawamuamini.