وَٱلَّذِينَ هُم بِـَٔايَٰتِ رَبِّهِمۡ يُؤۡمِنُونَ ٥٨
Walladhīna hum bi'āyāti rabbihim yu'minūn
Na wale ambao Ishara za Mola wao Mlezi wanaziamini, 58
Maelezo ya chini
58 Na wale ambao wanaziamini Ishara za Mola wao Mlezi ziliomo ulimwenguni na zinazo somwa katika Kitabu kilicho teremshwa,