وَٱلَّذِينَ هُمۡ عَنِ ٱللَّغۡوِ مُعۡرِضُونَ ٣
Walladhīna hum 'anil-laghwi mu'ridūn
Na ambao hujiepusha na mambo ya upuuzi! 3
Maelezo ya chini
3 Hao wanashughulikia mambo ya maana, wanapuuza vitendo na maneno yasiyo na kheri ndani yake.