Surat Al-Mu'minun, aya 11

23:11

ٱلَّذِينَ يَرِثُونَ ٱلۡفِرۡدَوۡسَ هُمۡ فِيهَا خَٰلِدُونَ ١١

Alladhīna yarithūnal-firdawsa hum fīhā khālidūn

Ambao watairithi Pepo ya Firdausi, wadumu humo. 11

Maelezo ya chini

11 Hawa ndio Mwenyezi Mungu atawafadhili kwa kuwapa Firdausi, ndio pahala pa juu kabisa huko Peponi, wastarehe humo peke yao.