أُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡوَٰرِثُونَ ١٠
Ulā'ika humul-wārithūn
Hao ndio warithi, 10
Maelezo ya chini
10 Hawa wenye kusifiwa hivi ndio watakao rithi kheri yote na wataipata Siku ya Kiyama. Hawa ndio Mwenyezi Mungu atawafadhili kwa kuwapa Firdausi, ndio pahala pa juu kabisa huko Peponi, wastarehe humo peke yao.