تَلۡفَحُ وُجُوهَهُمُ ٱلنَّارُ وَهُمۡ فِيهَا كَٰلِحُونَ ١٠٤
Talfahu wujūhahumun-nāru wahum fīhā kālihūn
Moto utababua nyuso zao, nao watakuwa na nyuso zilizo kunjana. 104
Maelezo ya chini
104 Moto utawababua nyuso zao, nazo zitakuwa zimekunjana kwa uwovu wa mwisho wao.