Surat Al-Mu'minun, aya 105

23:105

أَلَمۡ تَكُنۡ ءَايَٰتِي تُتۡلَىٰ عَلَيۡكُمۡ فَكُنتُم بِهَا تُكَذِّبُونَ ١٠٥

Alam takun āyātī tutlā 'alaykum fakuntum bihā tukaddhibūn

Je! Hazikuwa Aya zangu mkisomewa, na nyinyi mkizikanusha?. 105

Maelezo ya chini

105 Mwenyezi Mungu anawakemea na anawaambia: Aya zangu zilizo kuwa zinateremshwa zilikuwa mkisomewa duniani, nanyi mkizikadhibisha.