Surat Al-Ikhlas, aya 1

112:1

قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ ١

Qul huwallāhu ahad

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1

Maelezo ya chini

1 Ewe Muhammad! Hao wanao sema kwa kejeli, "Tusifie Mola wako Mlezi.": waambie: Yeye ni Mwenyezi Mungu wa pekee hapana mwenginewe, wala hana mshirika.