لَئِنۢ بَسَطتَ إِلَيَّ يَدَكَ لِتَقۡتُلَنِي مَآ أَنَا۠ بِبَاسِطٖ يَدِيَ إِلَيۡكَ لِأَقۡتُلَكَۖ إِنِّيٓ أَخَافُ ٱللَّهَ رَبَّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٢٨
La im basatta ilayya yadaka litaqtulanī mā ana bibāsitin yadiya ilayka li aqtulaka innī akhāfullāha rabbal-'ālamīn
Ukininyooshea mkono wako kuniuwa, mimi sitakunyooshea mkono wangu kukuuwa. Hakika mimi namwogopa Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote. 28
Maelezo ya chini
28 Akamwambia: Shetani akikuzuga hata ukaninyooshea mkono ili kuniuwa, mimi sitofanya kama hivyo, wala sitanyoosha mkono wangu kwa ajili ya kukuuwa. Hakika mimi naogopa adhabu ya Mola wangu Mlezi, naye ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.