Surat Al-Ma'idah, aya 21

5:21

يَٰقَوۡمِ ٱدۡخُلُواْ ٱلۡأَرۡضَ ٱلۡمُقَدَّسَةَ ٱلَّتِي كَتَبَ ٱللَّهُ لَكُمۡ وَلَا تَرۡتَدُّواْ عَلَىٰٓ أَدۡبَارِكُمۡ فَتَنقَلِبُواْ خَٰسِرِينَ ٢١

Yāqawmidkhulul-ardal-muqaddasatal-latī kataballāhu lakum walā tartaddū 'alā adbārikum fatanqalibū khāsirīn

Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika. 21

Maelezo ya chini

21 Enyi watu wangu! T'iini amri ya Mwenyezi Mungu. Ingieni ardhi takatifu aliyo kujaalieni Mwenyezi Mungu muingie, wala msirejee nyuma kuwaogopa hao watu wake majabari, mkaja kukosa nusura ya Mwenyezi Mungu na radhi zake.