قَدۡ سَأَلَهَا قَوۡمٞ مِّن قَبۡلِكُمۡ ثُمَّ أَصۡبَحُواْ بِهَا كَٰفِرِينَ ١٠٢
Qad sa'alahā qawmum min qablikum thumma asbahū bihā kāfirīn
Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa. 102
Maelezo ya chini
102 Katika jamaa walio kutangulieni walikuwapo walio uliza mfano wa haya, mambo mazito mazito; na Manabii wao walipo wakalifisha ya kufanya wakaona mazito kuyatenda, wakayaacha, na wakawa ni wenye kuyakanya. Kwani Mwenyezi Mungu hupendelea wepesi, wala hapendelei uzito; na huwakalifisha watu kwa wanayo yaweza.