وَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَكَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَآ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَحِيمِ ١٠
Walladhīna kafarū wakaddhabū bi'āyātinā ulā'ika ashābul-jahīm
Na wale walio kufuru na wakakanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni. 10
Maelezo ya chini
10 Na wale wanayo ipinga Dini ya Mwenyezi Mungu, na wakakanusha Ishara zinazo onyesha Umoja wa Mwenyezi Mungu Mtukufu, na ukweli wa Ujumbe wake, hao ni watu wa kudumu katika Jahannamu.