قَالَ إِن سَأَلۡتُكَ عَن شَيۡءِۭ بَعۡدَهَا فَلَا تُصَٰحِبۡنِيۖ قَدۡ بَلَغۡتَ مِن لَّدُنِّي عُذۡرٗا ٧٦
Qāla in sa'altuka 'an shay'i ba'dahā falā tusāhibnī qad balaghta mil ladunnī 'udhrā
Akasema: Nikikuuliza kitu chochote baada ya haya usifuatane nami, kwani umekwisha pata udhuru kwangu. 76
Maelezo ya chini
76 Musa akasema: Nikikuuliza lolote baada ya mara hii basi usifuatane nami, kwani umekwisha fikilia kiwango cha kupata udhuru wa kutokuwa nami.