Surat Al-Kahf, aya 70

18:70

قَالَ فَإِنِ ٱتَّبَعۡتَنِي فَلَا تَسۡـَٔلۡنِي عَن شَيۡءٍ حَتَّىٰٓ أُحۡدِثَ لَكَ مِنۡهُ ذِكۡرٗا ٧٠

Qāla fa init-taba'tanī falā tas'alnī 'an shay'in hattā uhditha laka minhu dhikrā

Akasema: Basi ukinifuata usiniulize kitu mpaka mimi nianze kukutajia. 70

Maelezo ya chini

70 Yule mja mwema akasema: Basi ukinifuata na ukayaona usiyo yafahamu, usiingie kuniuliza mpaka nianze mimi kukusimulia.