Surat Al-Jathiyah, aya 17

45:17

وَءَاتَيۡنَٰهُم بَيِّنَٰتٖ مِّنَ ٱلۡأَمۡرِۖ فَمَا ٱخۡتَلَفُوٓاْ إِلَّا مِنۢ بَعۡدِ مَا جَآءَهُمُ ٱلۡعِلۡمُ بَغۡيَۢا بَيۡنَهُمۡۚ إِنَّ رَبَّكَ يَقۡضِي بَيۡنَهُمۡ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ فِيمَا كَانُواْ فِيهِ يَخۡتَلِفُونَ ١٧

Wa ātaynāhum bayyinātim minal-amri famakhtalafū illā mim ba'di mā jā'ahumul-'ilmu baghyā baynahum inna rabbaka yaqdī baynahum yawmal-qiyāmati fīmā kānū fīhi yakhtalifūn

Na tukawapa maelezo wazi ya amri. Basi hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa ajili ya uhasidi uliyo kuwa baina yao. Hakika Mola wako Mlezi atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika mambo waliyo kuwa wakikhitalifiana. 17

Maelezo ya chini

17 Na tumewapa dalili wazi katika mambo ya Dini yao. Basi haikutokea khitilafu baina yao ila baada ya kwisha wajia ujuzi wa hakika ya Dini na hukumu zake. Na hayo ni kwa uadui na uhasidi tu ulio baina yao. Hakika Mola wako Mlezi atapambanua baina ya hao wanao khitalifiana Siku ya Kiyama katika mambo waliyo kuwa wamekhitalifiana.