Surat Al-Isra, aya 62

17:62

قَالَ أَرَءَيۡتَكَ هَٰذَا ٱلَّذِي كَرَّمۡتَ عَلَيَّ لَئِنۡ أَخَّرۡتَنِ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِ لَأَحۡتَنِكَنَّ ذُرِّيَّتَهُۥٓ إِلَّا قَلِيلٗا ٦٢

Qāla ara'aytaka hādhal-ladhī karramta 'alayya la in akkhartani ilā yawmil-qiyāmati la ahtanikanna dhurriyyatahū illā qalīlā

Akasema: Hebu nambie khabari ya huyu uliye mtukuza juu yangu. Ukiniakhirisha mpaka Siku ya Kiyama, hapana shaka nitawaangamiza dhuriya zake wasipo kuwa wachache tu. 62

Maelezo ya chini

62 Iblisi akasema: Ewe Mola wangu Mlezi hebu ni ambie khabari za huyu uliye mtukuza juu yangu, ukaniamrisha ni msujudie kwanini kamtukuza kuliko mimi, na mimi ni bora kuliko yeye, Naapa kwa utukufu wako. Ukinibakisha ni hai mpaka siku ya Kiyama, basi nitawahiliki dhuria zao watao wazaa kwa kuwaghuri isipokwa wachache tu, kati yao utakao walinda na Kuwahifadhi.