لَّا تَجۡعَلۡ مَعَ ٱللَّهِ إِلَٰهًا ءَاخَرَ فَتَقۡعُدَ مَذۡمُومٗا مَّخۡذُولٗا ٢٢
Llā taj'al ma'allāhi ilāhan ākhara fataq'uda madhmūmam makhdhūlā
Usimfanye mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu, usije ukawa wa kulaumiwa uliye tupika. 22
Maelezo ya chini
22 Ewe mwenye jukumu! Usimfanyie Mwenyezi Mungu kuwa na mshirika, utakuja fedheheka kwa kudharauliwa, na utajaaliwa uwe mwenye kutupika.