Surat Al-Insan, aya 8

76:8

وَيُطۡعِمُونَ ٱلطَّعَامَ عَلَىٰ حُبِّهِۦ مِسۡكِينٗا وَيَتِيمٗا وَأَسِيرًا ٨

Wayut'imūnat-ta'āma 'alā hubbihī miskīnan wayatīman wa asīrā

Na huwalisha chakula, juu ya kukipenda kwake, masikini, na yatima, na wafungwa. 8

Maelezo ya chini

8 Na huwalisha chakula mafakiri wasio weza kazi, na watoto walio fiwa na wazee wao, na wafungwa wasio miliki kitu, ijapo kuwa wao wenyewe hao watoaji wanakipenda hicho wanacho kitoa, na wanakihitajia.