يُوفُونَ بِٱلنَّذۡرِ وَيَخَافُونَ يَوۡمٗا كَانَ شَرُّهُۥ مُسۡتَطِيرٗا ٧
Yūfūna bin-nadhri wayakhāfūna yawman kāna sharruhū mustatīrā
Wanatimiza ahadi,na wanaiogopa siku ambayo shari yake inaenea sana, 7
Maelezo ya chini
7 Wanatekeleza yaliyo wajibikia , na wanaikhofu Siku kubwa hiyo ambayo madhara yake yataenea kote kote,