Surat Al-Infitar, aya 5

82:5

عَلِمَتۡ نَفۡسٞ مَّا قَدَّمَتۡ وَأَخَّرَتۡ ٥

'Alimat nafsum mā qaddamat wa akkharat

Hapo kila nafsi itajua ilicho tanguliza, na ilicho bakisha nyuma. 5

Maelezo ya chini

5 Hapo basi kila nafsi itajua nini kheri au shari iliyo tanguliza na iliyo chelewesha.