خَٰلِدِينَ فِيهَا لَا يُخَفَّفُ عَنۡهُمُ ٱلۡعَذَابُ وَلَا هُمۡ يُنظَرُونَ ٨٨
Khālidīna fīhā lā yukhaffafu 'anhumul-'adhābu walā hum yunzarūn
Humo watadumu. Hawatapunguziwa adhabu wala hawatapewa nafasi. 88
Maelezo ya chini
88 Laana hiyo haitowabanduka, wala hawatapunguziwa adhabu, wala hawapewi muhula.