فَإِن تَوَلَّوۡاْ فَإِنَّ ٱللَّهَ عَلِيمُۢ بِٱلۡمُفۡسِدِينَ ٦٣
Fa in tawallaw fa innallāha 'alīmu bil-mufsidīn
Na kama wakigeuka basi Mwenyezi Mungu anawajua waharibifu. 63
Maelezo ya chini
63 Wakiikataa Haki baada ya kwisha wadhihirikia, na wasiache upotovu wao, basi hao ndio waharibifu. Na Mwenyezi Mungu anawajua.