Surat Al-Imran, aya 48

3:48

وَيُعَلِّمُهُ ٱلۡكِتَٰبَ وَٱلۡحِكۡمَةَ وَٱلتَّوۡرَىٰةَ وَٱلۡإِنجِيلَ ٤٨

Wayu'allimuhul-kitāba wal-hikmata wat-tawrāta wal-injīl

Na atamfunza kuandika na Hikima na Taurati na Injili. 48

Maelezo ya chini

48 Na Mwenyezi Mungu atamfunza mtoto huyu aliye zaliwa kuandika, na ilimu njema yenye manufaa, na Taurati, Kitabu cha Musa a.s., na Injili atayo mfunulia yeye.