Surat Al-Imran, aya 138

3:138

هَٰذَا بَيَانٞ لِّلنَّاسِ وَهُدٗى وَمَوۡعِظَةٞ لِّلۡمُتَّقِينَ ١٣٨

Hādhā bayānul lin-nāsi wahudan wamaw'izatul lil-muttaqīn

Hii ni bayana kwa watu wote, na ni uwongofu, na mawaidha kwa wachamngu. 138

Maelezo ya chini

138 Kwa kutajwa sifa za Waumini na kueleza shani ya Mwenyezi Mungu iliyo pita kwa walio kwisha tangulia lipo Bayana na Uwongozi kwa watu wafuate njia ya kheri, na kuwaachisha njia ya shari.