Surat Al-Ikhlas, aya 2

112:2

ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ ٢

Allāhus-samad

Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2

Maelezo ya chini

2 Mwenyezi Mungu Mwenye kukusudiwa peke yake katika haja zote, na yote yanayo takikana.