وَقُلۡ إِنِّيٓ أَنَا ٱلنَّذِيرُ ٱلۡمُبِينُ ٨٩
Waqul innī anan-nadhīrul-mubīn
Na sema: Hakika mimi ni mwonyaji mwenye kubainisha. 89
Maelezo ya chini
89 Ewe Nabii! Waambie makafiri wote: Mimi nakuonyeni na adhabu kali, na nakubainishieni maonyo yangu kwa hoja za kukata.