وَءَاتَيۡنَٰهُمۡ ءَايَٰتِنَا فَكَانُواْ عَنۡهَا مُعۡرِضِينَ ٨١
Wa ātaynāhum āyātinā fakānū 'anhā mu'ridīn
Na tuliwapa ishara zetu, nao wakazipuuza. 81
Maelezo ya chini
81 Tuliwabainishia hoja zenye kuonyesha uwezo wetu, na Utume wa Mtume wetu, nao wakayapuuza, wala wasiyafikiri.