قَالَ إِنَّكُمۡ قَوۡمٞ مُّنكَرُونَ ٦٢
Qāla innakum qawmum munkarūn
Alisema (Luut'i): Hakika nyinyi ni watu msio juulikana. 62
Maelezo ya chini
62 Luut'i aliwaambia: Watu nyinyi sikujueni, na nafsi yangu inatishika nanyi. Naogopa msituletee balaa.