Surat Al-Hijr, aya 61

15:61

فَلَمَّا جَآءَ ءَالَ لُوطٍ ٱلۡمُرۡسَلُونَ ٦١

Falammā jā'a āla lūtinil-mursalūn

Basi wale wajumbe walipo fika kwa Luut'i, 61

Maelezo ya chini

61 Wale Malaika walio tumwa na Mwenyezi Mungu Mtukufu kuteremsha yaliyo ahidiwa, walipo fika nchi ya Luut'i na watu wake,