Surat Al-Hijr, aya 63

15:63

قَالُواْ بَلۡ جِئۡنَٰكَ بِمَا كَانُواْ فِيهِ يَمۡتَرُونَ ٦٣

Qālū bal ji'nāka bimā kānū fīhi yamtarūn

Wakasema: Bali sisi tumekuletea yale waliyo kuwa wakiyafanyia shaka. 63

Maelezo ya chini

63 Wakasema: Usituogope, kwani hatukukujia kwa unalo liogopa, bali tumekujia kwa jambo la kukufurahisha, nalo ni kuwateremshia adhabu hawa watu wako walio kukadhibisha na wakawa wanaitilia shaka hiyo adhabu au wanaikanya.