قَالَ وَمَن يَقۡنَطُ مِن رَّحۡمَةِ رَبِّهِۦٓ إِلَّا ٱلضَّآلُّونَ ٥٦
Qāla waman yaqnatu mir rahmati rabbihī illad-dāllūn
Akasema: Na nani anaye kata tamaa na rehema ya Mola wake Mlezi ila wale walio potea? 56
Maelezo ya chini
56 Ibrahim akasema: Mimi sikati tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Kwani hawakati tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu ila walio potea wasio utambua utukufu wake na uwezo wake.