Surat Al-Hijr, aya 55

15:55

قَالُواْ بَشَّرۡنَٰكَ بِٱلۡحَقِّ فَلَا تَكُن مِّنَ ٱلۡقَٰنِطِينَ ٥٥

Qālū bassharnāka bil-haqqi falā takum minal-qānitīn

Wakasema: Tunakubashiria kwa haki; basi usiwe miongoni mwa wanaokata tamaa. 55

Maelezo ya chini

55 Wakasema: Sisi tunakubashiria jambo lilio thibiti, ambalo halina shaka kabisa. Basi usiwe katika wanao kata tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu.