Surat Al-Hijr, aya 57

15:57

قَالَ فَمَا خَطۡبُكُمۡ أَيُّهَا ٱلۡمُرۡسَلُونَ ٥٧

Qāla famā khatbukum ayyuhal-mursalūn

Akasema: Hebu nini amri yenu, enyi wajumbe? 57

Maelezo ya chini

57 Alivyo kuwa kaanza kuzoeana nao, alisema: Ikiwa mmenibashiria khabari hii nzuri, je mna jambo gani jenginelo mlilo nalo baada ya haya, enyi wajumbe mlio tumwa na Mwenyezi Mungu?