Surat Al-Hijr, aya 15

15:15

لَقَالُوٓاْ إِنَّمَا سُكِّرَتۡ أَبۡصَٰرُنَا بَلۡ نَحۡنُ قَوۡمٞ مَّسۡحُورُونَ ١٥

Laqālū innamā sukkirat absārunā bal nahnu qawmum mashūrūn

Basi wangeli sema: Macho yetu yamelevywa, bali sisi wenyewe tumerogwa. 15

Maelezo ya chini

15 Bado wasingeli amini, na wangesema: Macho yetu yamefumbwa tusione, na yamefunikwa. Bali hayo si lolote ila ni uchawi tu, tumerogwa! Basi hapana faida ya ishara yoyote maadamu nyoyo zao zimeenea ukafiri.