Surat Al-Hijr, aya 14

15:14

وَلَوۡ فَتَحۡنَا عَلَيۡهِم بَابٗا مِّنَ ٱلسَّمَآءِ فَظَلُّواْ فِيهِ يَعۡرُجُونَ ١٤

Walaw fatahnā 'alayhim bābam minas-samā'i fazallū fīhi ya'rujūn

Na lau tungeli wafungulia mlango wa mbingu, wakawa wanapanda, 14

Maelezo ya chini

14 Watu hao wanataka wateremshiwe Malaika. Ewe Nabii! Usidhani kuwa ndio wataamini wakiteremshiwa. Bali hata tungeli wafungulia mlango wa mbingu wakawa wanapanda huko wakaona maajabu yaliyoko, na wakawaona Malaika,