Surat Al-Hijr, aya 13

15:13

لَا يُؤۡمِنُونَ بِهِۦ وَقَدۡ خَلَتۡ سُنَّةُ ٱلۡأَوَّلِينَ ١٣

Lā yu'minūna bihī waqad khalat sunnatul-awwalīn

Hawayaamini haya, na hali ya kuwa umekwisha wapitia mfano wa watu wa kale. 13

Maelezo ya chini

13 Wakhalifu hao hawaamini. Na mwendo wa Mwenyezi Mungu Mtukufu kuwapa muhula mpaka waione adhabu chungu ya Siku ya Kiyama ndio kama ulivyo kwisha tangulia.