Surat Al-Hijr, aya 12

15:12

كَذَٰلِكَ نَسۡلُكُهُۥ فِي قُلُوبِ ٱلۡمُجۡرِمِينَ ١٢

Kadhālika naslukuhū fī qulūbil-mujrimīn

Na kama hivi ndivyo tunavyo ingiza katika nyoyo za wakosefu. 12

Maelezo ya chini

12 Kama tulivyo itia Qur'ani katika nyoyo za Waumini ikaingiza mwangaza, basi kadhaalika tumeingiza upotovu katika nyoyo za walio pigwa muhuri wa ukosefu; hali ya katika nyoyo zao ikawa kinyume cha hayo. Upotovu ukatia mizizi katika roho zao.