فَأَمَّا ثَمُودُ فَأُهۡلِكُواْ بِٱلطَّاغِيَةِ ٥
Fa ammā thamūdu fa uhlikū bit-tāghiyah
Basi Thamudi waliangamizwa kwa balaa kubwa mno. 5
Maelezo ya chini
5 Ama Thamudi basi walihilikiwa kwa tukio lilio pindukia mipaka yote kwa ukali wake.