كَذَّبَتۡ ثَمُودُ وَعَادُۢ بِٱلۡقَارِعَةِ ٤
Kaddhabat thamūdu wa'ādu bil-qāri'ah
Thamudi na A'di waliukadhibisha Msiba unao situsha. 4
Maelezo ya chini
4 Kina Thamudi na kina A'di walikanusha Kiyama kinacho wagutua walimwengu wote kwa kitisho chake na shida zake.