وَإِنَّهُۥ لَتَذۡكِرَةٞ لِّلۡمُتَّقِينَ ٤٨
Wa innahū latadhkiratul lil-muttaqīn
Kwa hakika hii ni mawaidha kwa wachamngu. 48
Maelezo ya chini
48 Na hakika Qur'ani ni mawaidha kwa wanao fuata amri za Mwenyezi Mungu, na wanaepuka makatazo yake.