فَمَا مِنكُم مِّنۡ أَحَدٍ عَنۡهُ حَٰجِزِينَ ٤٧
Famā minkum min ahadin 'anhu hājizīn
Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia. 47
Maelezo ya chini
47 Na hapana yeyote katika nyinyi, hata ange kuwa na nguvu namna gani, angeli weza kuzuia adhabu yetu isimfikilie.