وَحُمِلَتِ ٱلۡأَرۡضُ وَٱلۡجِبَالُ فَدُكَّتَا دَكَّةٗ وَٰحِدَةٗ ١٤
Wahumilatil-ardu wal-jibālu fadukkatā dakkatan wāhidah
Na ardhi na milima ikaondolewa, na ikavunjwa kwa mvunjo mmoja, 14
Maelezo ya chini
14 Na ardhi na milima ikaondolewa pahala ilipo, na ikavunjwa mara moja,